Galbi
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 406
- 616
kitu cha google hiko ndugu.Aisee watu mnajipenda hatari hapo ata usipo nawa mikono sijui na nn corona upati..
Mimi hapo mpaka nimalize kula makwapa yatakua yanauma kwa kuizungusha zungusha mikono[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app