Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizo ningekula kama mchemsho
Jr[emoji769]
[emoji39][emoji39][emoji39]Location wapi?Kitafunio cha kifungua kinywa asubuhi hii kwa chai ya Tangawizi[emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1409992View attachment 1409993
Food mongaKitafunio cha kifungua kinywa asubuhi hii kwa chai ya Tangawizi[emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1409992View attachment 1409993
Watu wembamba mnakula sana utakuja kunimalizia kitafunwa changu bure![emoji28][emoji28][emoji28][emoji39][emoji39][emoji39]Location wapi?
Hizi ni nini?View attachment 1408216
[emoji39][emoji39][emoji39]Hii Combi hii ndio imenilea hii, heshima kwake tafadhali [emoji120][emoji120][emoji120]
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Umeeandaaje hiyo mboga miss?
Hizo bamia zinaiva kidogo tu kwa hiyo supusupu ya nyama, usipimeView attachment 1410201
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeeandaaje hiyo mboga miss?
Hii mixer hainogi kabisa, wali mweupe ingekua mwake sana[emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1408930
Kitimoto mara moja kwa mwezi siyo haram![emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1410342
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hasa kikiwa kimeokwa hivi
Jr[emoji769]