Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Kitafunio cha kifungua kinywa asubuhi hii kwa chai ya Tangawizi[emoji18][emoji18][emoji18]
020040185221.JPG
20200405185248.JPG
 
nimekaanga dagaa kidogo walipokauka nikaweka kitunguu maji then nyanya nikaacha ziive nikaweka karanga nikakoroga zilipochanganyika vizuri na nyanya na dagaa nikaweka mchicha..nikaacha kama dakika 5 nikaipua.
Umeeandaaje hiyo mboga miss?
 
Back
Top Bottom