sio hata tamu😏[emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1408930
hapa ni skewers?
Mboga kidogo ugali mkubwa![emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1415344View attachment 1415345
Siyo haram hii?Ugali leo utanikoma![emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1412504
Ngoja nisogee na bakuli la maharage! [emoji39][emoji39][emoji39]
Umetumia viazi vipi?My dear nimepika kachori mara mbili lkn zinafunguka viazi vinatoka sasa sijajua ninakosea wapi!?
Najua lazima wanaume wa Dar wakiona hii nguna lazima watetemeke![emoji4][emoji4][emoji4]Uko pekeyako?
Jr[emoji769]
Nimetumia viazi vinavyotumika kwa chipsi mkuuUmetumia viazi vipi?
ᴹᵒᵏⁱˡⁱ ᵒʸᵒ ᵉᵗᵒⁿᵈᵃ ᵐᵃᵏᵃᵐᵇᵒ ᵉᵇᵉˡᵉ [emoji2986]
Kila mmoja hapa atapata glass moja![emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1416095
Ili ziwe nzuri na mviringo usivurugike, tumia vile viazi vyekundu maarufu viazi vya Mbeya.Nimetumia viazi vinavyotumika kwa chipsi mkuu
Yanauzwaje kwa hilo gallon la lita 5?Kila mmoja hapa atapata glass moja![emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1416095
Thanx a lot mkuu!!but nimetumia hivyo hivyo lkn sijapata matokeo chanya au hazitakiwi kugusana zikiwa kwenye mafuta!?Ili ziwe nzuri na mviringo usivurugike, tumia vile viazi vyekundu maarufu viazi vya Mbeya.
ᴹᵒᵏⁱˡⁱ ᵒʸᵒ ᵉᵗᵒⁿᵈᵃ ᵐᵃᵏᵃᵐᵇᵒ ᵉᵇᵉˡᵉ [emoji2986]
Zinaweza kugusana ila mafuta pia yawe mengi ili zizame na kuelea.Thanx a lot mkuu!!but nimetumia hivyo hivyo lkn sijapata matokeo chanya au hazitakiwi kugusana zikiwa kwenye mafuta!?
Je kavichemsha viazi na maganda au kavimenya je vimeiva sana au maana yake havitakiwi viiveZinaweza kugusana ila mafuta pia yawe mengi ili zizame na kuelea.
ᴹᵒᵏⁱˡⁱ ᵒʸᵒ ᵉᵗᵒⁿᵈᵃ ᵐᵃᵏᵃᵐᵇᵒ ᵉᵇᵉˡᵉ [emoji2986]
Nahisi tatizo lako lipo kwenye, baada ya kuchemsha viazi aidha uliviacha na maji au ngano uliyovirigia ili kukaanga uliifanya nyepesiThanx a lot mkuu!!but nimetumia hivyo hivyo lkn sijapata matokeo chanya au hazitakiwi kugusana zikiwa kwenye mafuta!?
Sahihi pia maana unaweza kuvichemsha lakini visiive mpaka kuvurugika.Je kavichemsha viazi na maganda au kavimenya je vimeiva sana au maana yake havitakiwi viive
Sent from Tapatalk