Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

.. l
20200320_135943.jpeg
 
My dear nimepika kachori mara mbili lkn zinafunguka viazi vinatoka sasa sijajua ninakosea wapi!?
Umetumia viazi vipi?

ᴹᵒᵏⁱˡⁱ ᵒʸᵒ ᵉᵗᵒⁿᵈᵃ ᵐᵃᵏᵃᵐᵇᵒ ᵉᵇᵉˡᵉ [emoji2986]
 
Nimetumia viazi vinavyotumika kwa chipsi mkuu
Ili ziwe nzuri na mviringo usivurugike, tumia vile viazi vyekundu maarufu viazi vya Mbeya.

ᴹᵒᵏⁱˡⁱ ᵒʸᵒ ᵉᵗᵒⁿᵈᵃ ᵐᵃᵏᵃᵐᵇᵒ ᵉᵇᵉˡᵉ [emoji2986]
 
Ili ziwe nzuri na mviringo usivurugike, tumia vile viazi vyekundu maarufu viazi vya Mbeya.

ᴹᵒᵏⁱˡⁱ ᵒʸᵒ ᵉᵗᵒⁿᵈᵃ ᵐᵃᵏᵃᵐᵇᵒ ᵉᵇᵉˡᵉ [emoji2986]
Thanx a lot mkuu!!but nimetumia hivyo hivyo lkn sijapata matokeo chanya au hazitakiwi kugusana zikiwa kwenye mafuta!?
 
Zinaweza kugusana ila mafuta pia yawe mengi ili zizame na kuelea.

Je kavichemsha viazi na maganda au kavimenya je vimeiva sana au maana yake havitakiwi viive

Sent from Tapatalk
 
Thanx a lot mkuu!!but nimetumia hivyo hivyo lkn sijapata matokeo chanya au hazitakiwi kugusana zikiwa kwenye mafuta!?
Nahisi tatizo lako lipo kwenye, baada ya kuchemsha viazi aidha uliviacha na maji au ngano uliyovirigia ili kukaanga uliifanya nyepesi

ᴹᵒᵏⁱˡⁱ ᵒʸᵒ ᵉᵗᵒⁿᵈᵃ ᵐᵃᵏᵃᵐᵇᵒ ᵉᵇᵉˡᵉ
[emoji2986]
 
Je kavichemsha viazi na maganda au kavimenya je vimeiva sana au maana yake havitakiwi viive

Sent from Tapatalk
Sahihi pia maana unaweza kuvichemsha lakini visiive mpaka kuvurugika.

Back
Top Bottom