Thanx InnaIle ngano ya juu koroga nzito kidogo..alafu leta mrejesho
Sasa mbona hunenepi?
Ndafu ya Pasaka![emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1417367
Sawa we si una majicho mengiNaiona microwave hapo
Jr[emoji769]
natamani nikonde ata zaidi ya hapaSasa mbona hunenepi?
Aisee! Inna hivi umesahau kuwa mimi na wewe ni marafiki? Hata kunipa mwaliko umekataa? Poa, utaona EID haiko mbali [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377]
hahaaha sio hivyo rafiki yangu,si unajua serikali imepiga marufuku ata kutembeleana ili tuwe safe ila mpk idd nafikiri tutakua tumeruhusiwa so usinsahau😂😂Aisee! Inna hivi umesahau kuwa mimi na wewe ni marafiki? Hata kunipa mwaliko umekataa? Poa, utaona EID haiko mbali [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377]
e͕̓́s̤̓͝t̫͒̀-̭̅͝c͇ͬ̀e͎͂͞ ̡̘̔q̨̜̾u͙͂͢ẽ̷̯ ̣͆͜ṭ̡̈́u̶̖̾ ̯̈́͞m̡͕̄'̖̄̕a͉͆͘i̧͕͆m̛͎ͫĕ̸͍sͮ͟ͅ?
[emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1418234