Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ndo manini
dah bro mshana mpaka nmedondosha mate kwa keyboard
😀😀,viazi havitaki kukaa ndani, au tuviwekee zipu jamaniMy dear nimepika kachori mara mbili lkn zinafunguka viazi vinatoka sasa sijajua ninakosea wapi!?
Mambo ya mtandao!!![emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1418234
Mayai ya nyanya yaan iyo ni mboga ya haraka unakata hoho+kitunguu+carrot+ ndio unaweka mayaiHaya ndo manini
😀😀,viazi havitaki kukaa ndani, au tuviwekee zipu jamani
Doctor umekula kuku uliyeletewa kwa ajili ya tiba wewe, afu wa kienyeji huyo aisee😋😋
Waganga mnafaidi sana, hushindwi kumwambia mgonjwa alete mbuzi mweupe kumbe umemiss supu tu dah😀😀, kuku kaliwa mpaka bakuli imebaki nyeupee nilidhani imeoshwaKinachohitajika ni damu tuu sio vipapatio... Nimemla kama simjui[emoji2][emoji2][emoji2]
Jr[emoji769]
Waganga mnafaidi sana, hushindwi kumwambia mgonjwa alete mbuzi mweupe kumbe umemiss supu tu dah[emoji3][emoji3], kuku kaliwa mpaka bakuli imebaki nyeupee nilidhani imeoshwa
Hivi hawa wa kisasa nao mnatumia kwenye hizo shughuli?Kinachohitajika ni damu tuu sio vipapatio... Nimemla kama simjui[emoji2][emoji2][emoji2]
Jr[emoji769]
Heshima yako bro![emoji119]