rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Hizo mnaita bloccol zina Radha gan iv. Nazionaga kwa tv tuunapika mwenyewe?napenda hizo mboga mboga blokol
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo mnaita bloccol zina Radha gan iv. Nazionaga kwa tv tuunapika mwenyewe?napenda hizo mboga mboga blokol
Kuna mtu ndio mboga yake iyoHawa huwa wanaishia jikoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1450890
Yani kila nikikukumbuka..
Jr[emoji769]
Nimekumbuka Beef aisee enzi hizo jeshini tulikuwa tunapewa kwenye makopoNyama ya kusagaView attachment 1450889
Nimekumbuka Beef aisee enzi hizo jeshini tulikuwa tunapewa kwenye makopo
Enz za Mkapa sio leo hiiHilo jeshi litakuwa la nje ya nchi eti?
Hizi nyama unazisaga kwenye nini?Nyama ya kusagaView attachment 1450889
Aisee
Mimi jikoni namaliza maini na miguu.Hawa huwa wanaishia jikoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1450890
Wengine butchan hapo hapo wanakuwaga na machine
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii ilikuja bila maini firigisi wala kichwa(nilichukia sana)Mimi jikoni namaliza maini na miguu.
View attachment 1450918
Mchana mwema