Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hahaha!
Nilikuwa nafikiria Mara mbilimbili nile au nisile.Mbona breakfast imechelewa ivo
Jr[emoji769]
Kikontena buku tano 5000 ziko kumi...jero jero!😂
Weka pili pili
Nadhani anamaanisha kontena linakuwa moja halafu Lina Kama vyumbavyumba hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibuu
Hii ni lunch au??
Kistua tumbo baada ya lunch[emoji23][emoji23][emoji23]Hii ni lunch au??