Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha aah katika matunda ya kuheshimiwa Parachichi lipo miongoni mwao, haliwezi kupelekwa maabaraRaha ya chakula ukae kwenye mkeka namna hiyo ule[emoji3526][emoji108]
Hahaha..siku wakichukua sampuli ya avocado ikapelekwa maabara ikatest +ve covid19 Mimi nimekwisha[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu, sharti moja la kua na kitambi utakua unakosea
Nakula kila kitu lakini still tumbo langu ni dogo sanaKuna kitu, sharti moja la kua na kitambi utakua unakosea
Hakika[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha aah katika matunda ya kuheshimiwa Parachichi lipo miongoni mwao, haliwezi kupelekwa maabara
Kabla kuanza hua unasali kabla?
Kwanza mkulu mwenyewe katutangazia corona imekwisha na jumapili ni sherehe na shamrashara za ushindi huo.
Naomba kidogoWali,Maharage nimeyaroast kidogo.
Yai
Parachichi
Smoothie yangu
View attachment 1454509View attachment 1454510
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale mlioko dar,tumieni chance hiyo,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza mkulu mwenyewe katutangazia corona imekwisha na jumapili ni sherehe na shamrashara za ushindi huo.
Tanzania Nakupenda nchi yangu[emoji1][emoji1]
Sasa mimi niko pwani hii inenikosa kwakweli [emoji22]Wale mlioko dar,tumieni chance hiyo,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dar kumenoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mana.!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wala sio sababu.Ndio mana.!
Habari za asubuhi
Asante.
Dah lutefu [emoji3][emoji3]Wali,Maharage nimeyaroast kidogo.
Yai
Parachichi
Smoothie yangu
View attachment 1454509View attachment 1454510
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa pwani Karibu hapoSasa mimi niko pwani hii inenikosa kwakweli [emoji22]