Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_20200518_152227_4.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkeka huo umenikumbusha mbali enzi hizo mnakula pilau lazima liwekwe kwenye mkeka kama huo alafu raha ya pilau ule na mkono


Ila huo msosi wako ni dawa kabisa dhidi ya corona!
Raha ya chakula ukae kwenye mkeka namna hiyo ule[emoji3526][emoji108]

Hahaha..siku wakichukua sampuli ya avocado ikapelekwa maabara ikatest +ve covid19 Mimi nimekwisha[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom