TayariiiKwa anayepika aweke recipe basi....
Kwa ambaye hajaanza kupika na anahaya mahitaji tuingie jikoni.
-samaki -perege itakuwa kizazi
-mboga za majani (sukuma kizazi
samaki ataliwa kwa ugali au wali.
Acha iwe wali..
Hii mchanganyiko wake kuna vitu gani?Adobo... Mboga ya kifilipino[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1455600
Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
Yes......
Hayo ni macaroni na mince msomali?
Aaah wapi najifunza bado...natafutq chef nioe. .ukiona nistue.
Hayo ni macaroni na mince msomali?
Nipe direction basi huu ndiyo muda wenyewe.Yes na nyama
View attachment 1455876
Pia na hii anjero
Vingine wali,chai,uji,na supu ya mbuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe direction basi huu ndiyo muda wenyewe.
Asante...it looks yummy
[emoji3][emoji3]haya....naja.Njoo wasap chap [emoji6] sheria kwetu ni tunakula mpaka viishe vyote ndio unaondoka
Sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Location inasomeka abiola nin? Nikiwa na safar ya dar kabla ya kufika hme lazima nipige hii kitu na pilipili kali sanaaaMambo ya pwani hayaView attachment 1455692
Kuna soy sauceHii mchanganyiko wake kuna vitu gani?
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Humu ndani huwezi kumkosa.Aaah wapi najifunza bado...natafutq chef nioe. .ukiona nistue.
Hapana hapo ni feriLocation inasomeka abiola nin? Nikiwa na safar ya dar kabla ya kufika hme lazima nipige hii kitu na pilipili kali sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji6][emoji6][emoji6] View attachment 1456001
Eee hilo ndiyo lenye virutubisho vyoteEee mm yai lakuchemsha likiwa na rojo ndan siwez [emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app