Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Kwa anayepika aweke recipe basi....


Kwa ambaye hajaanza kupika na anahaya mahitaji tuingie jikoni.

-samaki -perege itakuwa kizazi
-mboga za majani (sukuma kizazi
samaki ataliwa kwa ugali au wali.

Acha iwe wali..
Tayariii
BeautyPlus_20200521160450302_save.jpg
 
Hii mchanganyiko wake kuna vitu gani?

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Kuna soy sauce
Maji
Brown sugar
Tangawizi
Kitunguu
Viazi vitamu
Hoho
Na kuku mwenyewe.,
Na ndio inaitwa adobo chicken.ila unaweza kuongeza na viungo vingine na unaweza kula kwa wali chapati hata ugali pia[emoji39][emoji39][emoji39]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom