Ulcers zimenibana rafikiPole uliugua nini?
Daah! Pole mpendwa, jitahid uwe unakula kwa wakati, punguza mawazo piaUlcers zimenibana rafiki
Asantee[emoji120]Daah! Pole mpendwa, jitahid uwe unakula kwa wakati, punguza mawazo pia
Itakuwa vizuriAsantee[emoji120]
Nitajitahidi rafiki[emoji3526]
Sasa huo ni ubaguzi, ila kiukweli hata ugali siwezi kula na kijiko! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Hahaha! Mimi pilau huwa ndio nalia mkono bro na ndio nahisi ninatosheka
Duh! Kumbe ni wewe mwenyewe pole sana. Ni peptic au gastric?Amen[emoji3526][emoji3526][emoji120][emoji120]
Acha uchokozi wengine tupo kwenye الستة الشوال [emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 1462357
Prawns fried rice na mchicha[emoji7][emoji3059]
Hahahaha!Sasa huo ni ubaguzi, ila kiukweli hata ugali siwezi kula na kijiko! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Acha uchokozi wengine tupo kwenye الستة الشوال [emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha!
Sio ubaguzi ni mazoea yanajengeka muda mrefu,
Aisee! pilau ni habari nyingine hasa lipikwe na mikono sio miguu
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji23][emoji23][emoji23] mi naanza wiki ijayao InshaAllah
Weka mbali na majirani maaana[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Amen[emoji120]Itakuwa vizuri
Mungu akufanyie wepesi!