Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa nawaza nikale wapi mishkakiAiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua kukitendea haki chakula[emoji119]
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Hapa nawaza nikale wapi mishkaki
Dada nitakuja kukutembelea
Asante dada.Karibu sana [emoji8]
Kimepangwa vizuri[emoji91][emoji91]#Wikienda View attachment 1470146
Kuna maboga, nyanya zime sagwasagwaKimepangwa vizuri[emoji91][emoji91]
Hizo ni Aina gani za mboga ukitoa huyo samaki?
Aisee hivi vitairi ni vinini vinatamanisha naeza futa sahani yote
Mate ya ugwadu yamenijaa ghafla[emoji39]#Wikienda View attachment 1470146
OkeeKuna maboga, nyanya zime sagwasagwa
Samaki ni kibua
Ukipika mnakula watu wangapi Anne?
Wengi tu ila kila mtu kwa Muda wakeUkipika mnakula watu wangapi Anne?
Okay..Wengi tu ila kila mtu kwa Muda wake
Kwanini umeuliza?Okay..
Amna hata,sina sababu ya maanaKwanini umeuliza?
Naitaka hiyohiyo isiyo ya maana[emoji3526]Amna hata,sina sababu ya maana
Nitakuambia PM..Naitaka hiyohiyo isiyo ya maana[emoji3526]