Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Pole sana, juzikati nami nilishake kidogo kwenda kucheki kweli ninayo. Nimeanza dozi hapa [emoji25][emoji25][emoji25]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]

Pole Sana aisee😥
Mimi jioni hii tumbo limeniuma hatari😔
 
Pole Sana aisee[emoji26]
Mimi jioni hii tumbo limeniuma hatari[emoji17]
Ahsante sana, nilianza dozi tangu juzi ila zilinitesa sana si unajua tena Cipro. Nimebadilii dozi, kwasasa natumia Floxsafe.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Ahsante sana, nilianza dozi tangu juzi ila zilinitesa sana si unajua tena Cipro. Nimebadilii dozi, kwasasa natumia Floxsafe.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Doh pole.
Mimi dawa zile walizonipa naziogopa yaani[emoji1751]..ila zinasaidia Sana..dadangu ametumia vizuri na zimemponya
 
Doh pole.
Mimi dawa zile walizonipa naziogopa yaani[emoji1751]..ila zinasaidia Sana..dadangu ametumia vizuri na zimemponya
Tunywe dawa tutapata shifaa, dawa na misosi [emoji39][emoji39][emoji39]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Then maji inaonekana unakunywa glass moja tu kwa siku.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Umenikumbusha[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikanywe.
Naweza pitisha siku hata hiyo glass moja sijakunywa[emoji1751]
 
Back
Top Bottom