Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
NimefungaNitakuambia PM..
Nimefunga
OkeeSiku ukifungua unikumbushe
Leo..Okee
Siku ukitaka kuja utaniambia
Baada ya dk 10 jaribu kunipm.Leo..
Pole sana, juzikati nami nilishake kidogo kwenda kucheki kweli ninayo. Nimeanza dozi hapa [emoji25][emoji25][emoji25]Uji wa mgonjwa[emoji3526]View attachment 1462259
Pole sana, juzikati nami nilishake kidogo kwenda kucheki kweli ninayo. Nimeanza dozi hapa [emoji25][emoji25][emoji25]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Ahsante sana, nilianza dozi tangu juzi ila zilinitesa sana si unajua tena Cipro. Nimebadilii dozi, kwasasa natumia Floxsafe.Pole Sana aisee[emoji26]
Mimi jioni hii tumbo limeniuma hatari[emoji17]
Kwanini mnafunga private messageNimefunga
Hahaha!Mate ya ugwadu yamenijaa ghafla[emoji39]
Niliamua tu kufunga[emoji3526]Kwanini mnafunga private message
Doh pole.Ahsante sana, nilianza dozi tangu juzi ila zilinitesa sana si unajua tena Cipro. Nimebadilii dozi, kwasasa natumia Floxsafe.
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Tunywe dawa tutapata shifaa, dawa na misosi [emoji39][emoji39][emoji39]Doh pole.
Mimi dawa zile walizonipa naziogopa yaani[emoji1751]..ila zinasaidia Sana..dadangu ametumia vizuri na zimemponya
Mimi jinsi ninavyokula kidogo na kushiba mapema mbona hizi dawa zitaninyoosha Sana[emoji1751]Tunywe dawa tutapata shifaa, dawa na misosi [emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Then maji inaonekana unakunywa glass moja tu kwa siku.Mimi jinsi ninavyokula kidogo na kushiba mapema mbona hizi dawa zitaninyoosha Sana[emoji1751]
Umenikumbusha[emoji23][emoji23][emoji23]Then maji inaonekana unakunywa glass moja tu kwa siku.
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Unafanya hatari sana, kunywa maji.Umenikumbusha[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikanywe.
Naweza pitisha siku hata hiyo glass moja sijakunywa[emoji1751]
NitajitahidiUnafanya hatari sana, kunywa maji.
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Hmm! Wanawake nyie sawaNiliamua tu kufunga[emoji3526]
Mtu akinihitaji ananiambia namfungulia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hmm! Wanawake nyie sawa