Location tafadhali nataka nijialike nije
My dear iyo picha ilikuwa Malawi ata sio bongoLocation tafadhali nataka nijialike nije
Pole lakini nalipiza
Kimasiahara zinaanzaga ivi ivi.Siku ukifungua unikumbushe
Asante sana kwa kuivuruga minyoo yangu tumboni[emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1471191
[emoji16][emoji16][emoji16]Asante sana kwa kuivuruga minyoo yangu tumboni
Jr[emoji769]
[emoji39][emoji39][emoji39]..daah huyu samaki huyu..hapa ni Mwanza bila shaka,si eti eee??
[emoji39][emoji39][emoji39]..daah huyu samaki huyu..hapa ni Mwanza bila shaka,si eti eee??
yes Mwanza mojaaaa
Inabidi tuje huko siku moja kupata fresh sato..hawa wa huku hamna kitu
Labda za kilingeHapana hapa ni sixteen packs
Jr[emoji769]
Mama wawili hili ndiyo linaitwa bumunda?