Uzi wa vyakula tu

Hujaona hiyo mikate miwili hapo? Ina nyama na makorombezo katikati.
Na juice ya tikiti ilikuja [emoji23][emoji23][emoji23] ika nilivyofika home nikala tena mkate na chai.
Haitoshi[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wametia tuchips tutatu jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: amu
Virse versa,kula chakula then malizia matunda ndo utaratibu otherwise ni ulafi tu.kula chakula na sallad ni sawa.matunda na chakula big no labda buffé ya harusini maana yatakwisha.
 
Haitoshi[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wametia tuchips tutatu jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu bei sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unaweza kulia
Mimi sikushiba nimefika kwangu nikala tena mkate na chai [emoji1787].
Lakini niliyekuwa nae yeye anakuka tu hako kamkate kamoja na chungwa eti anashiba [emoji23] na ana limwili likuuuuubwaaa sana
 
Atakuwa na minyoo huyo Sio bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sh ngapi hicho?
 
Reactions: amu
Anakusoma hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ngoja nitafute risiti nikuwekee.
Hee
Kumbe yupo ananiona hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ajitokeze Basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: amu
Hee
Kumbe yupo ananiona hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ajitokeze Basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
@Hornet njoo useme hapa umeambiwa ujitokeze
 
@Hornet njoo useme hapa umeambiwa ujitokeze
Aiseee [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi hii hii siku hakuwa na mood ya kula.

Kuna siku alikula chakula akapost humu aliitendea haki ile sahani ya wali
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…