Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Uzi mzima umeujaza wewe kwa vyakulaJamani [emoji23][emoji23][emoji23]
hahhaa hongetaLeo nimejaribu kupika,ngoja nivue shrti kabisa[emoji23][emoji1787]View attachment 1476315
Umeona unavyonisingizia[emoji23]Uzi mzima umeujaza wewe kwa vyakula
Hmm sawaUmeona unavyonisingizia[emoji23]
Nimejaza mlenda na ubwabwa wa hostel..
Wewe ndiye unaupendezesha huu uzi Sasa[emoji3526]
Rafiki ile bia yako pendwa ya lite huwa unapenda kutafunia na chakula gani?[emoji12][emoji12][emoji12]hahhaa hongeta
hizo mboga zote ungechanganya tu iwe moja
Kuna Watu wakiingia humu hadi mtu unafurahi..Hmm sawa
Kuku mkavuRafiki ile bia yako pendwa ya lite huwa unapenda kutafunia na chakula gani?[emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji12]Kuku mkavu
Asante ,next season itakuwa hivyo[emoji23]hahhaa hongeta
hizo mboga zote ungechanganya tu iwe moja
itapunguza na Idadi ya vyombo...Asante ,next season itakuwa hivyo[emoji23]
Aww![emoji39]Evening tea View attachment 1476464
Yap ni kweli,hapa imebidi nimpe jirani anisaidie kuosha[emoji23]itapunguza na Idadi ya vyombo...
nasikia wanaume mnaogopa kupika sababu ya kuosha vyombo
[emoji7]Evening tea View attachment 1476464
Ma mtumishi,utashiba kweli..?[emoji23][emoji23]
We acha tuMa mtumishi,utashiba kweli..?[emoji23][emoji23]
hapo ushamiss ugali mlenda mara juis yako ya parachichi[emoji847]
Hizi zinaonekana tamu.