Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_20200612_163103_5.jpg
 
Ma mtumishi,utashiba kweli..?[emoji23][emoji23]

hapo ushamiss ugali mlenda mara juis yako ya parachichi[emoji847]
We acha tu
Siku ya 5 hii sijala ugali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],sio kawaida yangu kabisa
Zile milkshake zangu nazimiss[emoji17]

Kesho nataka niende mbali huko nikatafute sembe,hapa wanauza dona na mimi dona sili.
 
Back
Top Bottom