Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hizi za leo tamuHizi zinaonekana tamu.
Jamanii bila ugali si watakukondesha sasa.?...pole sana.! Nenda mwaya ukapate kitu roho inapenda[emoji6]We acha tu
Siku ya 5 hii sijala ugali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],sio kawaida yangu kabisa
Zile milkshake zangu nazimiss[emoji17]
Kesho nataka niende mbali huko nikatafute sembe,hapa wanauza dona na mimi dona sili.
Zile za jana zinaonesha zinakaba sana kooni [emoji23][emoji23][emoji23]japo ulikuwa na juisi tunda lakini zinakaba sanaHizi za leo tamu
Zile za Jana nimeishia tu kumwaga..zilikuwa kavu,ngumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamanii bila ugali si watakukondesha sasa.?...pole sana.! Nenda mwaya ukapate kitu roho inapenda[emoji6]
Zilikuwa mbaya yaani..zinakwangua tu tumbo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zile za jana zinaonesha zinakaba sana kooni [emoji23][emoji23][emoji23]japo ulikuwa na juisi tunda lakini zinakaba sana
HahahahaZilikuwa mbaya yaani..zinakwangua tu tumbo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha , aseeZile za jana zinaonesha zinakaba sana kooni [emoji23][emoji23][emoji23]japo ulikuwa na juisi tunda lakini zinakaba sana
Best sherehe ya nini hatualikani
Punguzeni stori humu jamani tunahitaji picha tulie ugali magetoni.
[emoji12] View attachment 1476404
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rafiki hizo paja sio za tz ni ulayaa