Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

We acha tu
Siku ya 5 hii sijala ugali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],sio kawaida yangu kabisa
Zile milkshake zangu nazimiss[emoji17]

Kesho nataka niende mbali huko nikatafute sembe,hapa wanauza dona na mimi dona sili.
Jamanii bila ugali si watakukondesha sasa.?...pole sana.! Nenda mwaya ukapate kitu roho inapenda[emoji6]
 
Hizi za leo tamu

Zile za Jana nimeishia tu kumwaga..zilikuwa kavu,ngumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zile za jana zinaonesha zinakaba sana kooni [emoji23][emoji23][emoji23]japo ulikuwa na juisi tunda lakini zinakaba sana
 
Zile za jana zinaonesha zinakaba sana kooni [emoji23][emoji23][emoji23]japo ulikuwa na juisi tunda lakini zinakaba sana
Zilikuwa mbaya yaani..zinakwangua tu tumbo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii lunch niliimis[emoji1787][emoji23]
IMG_20200606_160610_613.jpg
 
Back
Top Bottom