Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Huu uzi ni msaada sana kwa sisi tusiopenda kula..ukipita humu angalau mate yanajaa mdomoni unatafuta msosi..ni appetizer tosha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uzi ni msaada sana kwa sisi tusiopenda kula..ukipita humu angalau mate yanajaa mdomoni unatafuta msosi..ni appetizer tosha!
[emoji848]unaona ni makande ya nnNgano vipi? Si makande haya?
Nipe dk 2 nikuonesheUkisema ngano unanichanganya ujue mbona mimi naona makande au umeweka na unga ngano?
Ngano vipi? Si makande haya?
Hii ndo ngano iliokobolewa tuUkisema ngano unanichanganya ujue mbona mimi naona makande au umeweka na unga ngano?
Sijawahi hii, embu unipikie siku moja nione huwa inakuwaje.[emoji848]unaona ni makande ya nn
Hakuna hindi wala maharage
Hapo kuna kunde kidogo na ngano nyingi sana
Ahsante imebidi nipande juu kuangalia tena.Hii ndo ngano iliokobolewa tu
Imeoshwa na kupembuliwa kama mchele then ikachanganywa na kunde
Kwahyo ni makande ila ya nganoView attachment 1485244
Ni matami ya mahindi na maharage utayasahau trust meSijawahi hii, embu unipikie siku moja nione huwa inakuwaje.
Sawa uangalie kwa makini maana ngano ikivimba inapasuka kama wali[emoji3526][emoji3526]Ahsante imebidi nipande juu kuangalia tena.
Haya mgeuze sasa,samaki shurti aliwe pande zote[emoji736]
Hata mimi nisinge kula usiku 😋
Location(Restaurant) ya hii menu tafadhari,najua upo mwz
Hata mimi nisinge kula usiku 😋
Location(Restaurant) ya hii menu tafadhari,najua upo mwz
Najitahidi niwe muumini wa simpo food inapofika Usiku,umeona eee hapo nakula samaki tu na juice na salad basi