mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
Hili ni tunda au uwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni tunda au uwa?
Hahahaha, inaonekana we binti unapenda sana chips , ila hapo unaponunuaga dah, asee
Aisee
Hizo ni chips za Udom i guess, jamani ni mbaya kuliko ubaya wenyewe tulikuwa tunalia shida tu enzi zetu. Chips kama zimechemshwa!
Hahahaha, nilishindwa kuziponda kuheshimu watu humu ,ila ,mmmmmhhaahahahahah nilidhan macho yangu tu
Kwanin hawajui tengeneza chips mbona rahisi tu
Hahahaha, nilishindwa kuziponda kuheshimu watu humu ,ila ,mmmmmh
Hahahaha, hapana mm huwa naheshimu sana sana watu wafanyayo ,ndio maana huwa nacheka tuniliona ile guna yako nilicheka sanaaaaa watu humu mpo funny
Hahahaha, hapana mm huwa naheshimu sana sana watu wafanyayo ,ndio maana huwa nacheka tu
Hahahaha, hakika humu kwa furahisha sanaKwa hiyo huwa unatucheka sana ee
HahahahaView attachment 1491136
Hivi ukila chips kavu si sawa sawa umekula wali tu [emoji1787][emoji1787]
Hahahaha