The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,989
- 45,411
Anne maviazi👊
Hadi nimeacha kupiga picha maana kila siku nakula viazi [emoji23][emoji23][emoji23]Anne maviazi[emoji109]
Weka ila ukiulizwa jinsi ya kukipika uwe na majibu.Downloaded je?
Hivi ndivyo mtu anavyotakiwa kula, mboga nyingi ugali kidogo sio mtu unaweka bonge la ugali kima haruki [emoji23][emoji23][emoji23]ugali na matembele[emoji39]View attachment 1488933