Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hawa watu wa hiyo restaurant hawako serious na kazi, huto tu chips hiyo, kachumbari, dah utasema wamelazimishwa
kuku alikuwa mtamu balaa hata sikuwa na haja na kachumbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watu wa hiyo restaurant hawako serious na kazi, huto tu chips hiyo, kachumbari, dah utasema wamelazimishwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vumilia tu vyakula vya chuo vina mwisho mama
Hiyo minofu dah[emoji4]jamen vichips tu ndio raha kwelii[emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee[emoji7][emoji7]View attachment 1526316
Dinner homemade bbq
Uzi wa kutiana njaa tuView attachment 1526333
Hahahaha, Mbuzi Katoliki hynyama ya nin hii ina ngozi?
Naam!
nyama ya nin hii ina ngozi?
Ewaaaa..Hahahaha, Mbuzi Katoliki hy
Damn mdudu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Uzi wa kutiana njaa tuView attachment 1526333
Kwanza nimefurah kuwa umeonekana tena baada ya kupotea kwa muda mwalimu wa mimiView attachment 1526648
Chocolate cake work of my hands
Inna nipo hapa na mimi nakusikiliza katika hiliNtakuelekeza hyo kitu rahisi sana kupika kwenye rojo lake ndo ngumu