Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Kwahiyo inasadikika ukila dona na samaki kambare na kachumbari pembeni na parachichi zoezi lile unakua mkalia hatariImani tu best angu ..we kula kwa raha zako
Mchana unakula bondo la nguvu jion unamalizia na viepe