Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Ngoja nikupe lecture mrembo,mwili unahitaji kiasi kidogo sana Cha chakula,chakula kingi hutuzwa mwilini kama mafuta,njaa inamaanisha tumbo lipo empty tu,kwahiyo nakushauri kula essential food kidogo(carbohydrates, protein na lipid) usile kujaza tumbo,then kunywa maji au matunda ili ujaze tumbo, inshort ni kwamba usijaze tumbo kwa chakula tu,

California love
Haya daktari nimeelewa kwa mimi kibonge carbs ni mbaya kwangu sitakiwi kula in high amount najitahidi sana kufanya a healthy diet
 
Usisahau na mboga za majani,,,aaaah umekuwa bonge tena? Tangia lini?

California love
 
Ngoja nikupe lecture mrembo,mwili unahitaji kiasi kidogo sana Cha chakula,chakula kingi hutuzwa mwilini kama mafuta,njaa inamaanisha tumbo lipo empty tu,kwahiyo nakushauri kula essential food kidogo(carbohydrates, protein na lipid) usile kujaza tumbo,then kunywa maji au matunda ili ujaze tumbo, inshort ni kwamba usijaze tumbo kwa chakula tu,

California love
Hili somo la mpangilio wa chakula ni zuri sana, tungekua tunapata elimu juu ya balance diet yani kila mlo basi kuwe na starch kidogo, protein kidogo, fats kidogo, vitamins kidogo nk na chakula gani kinafaa usiku, mchana na asubuhi hakika watu wasingekua wanakula jimradi ale tu wangepata chakula bora na sio bora chakula, ingesaidia kupunguza magonjwa yasio na lazima, ingepunguza vitambi hebu saidia uwe unatoa darasa maana naona unafanya hivyo
 
Ni kweli kaka,Asante kwa nyongeza
Kitu ambacho watu hawajui ni kwamba physical appearance yao ni matokeo ya vyakula wanavyokula,na obesity ni ugonjwa kama magonjwa mengine

California love
 
IMG_4311.jpg

Ka dinna
 
Hii breakfast ilikua kavu kavu bila kachai [emoji23][emoji23], sema mimi napenda sana korosho aisehh

Nilikunywa na maji ya moto yenye limao na tangawizi.

Korosho tamu sana hasa ziwe na chumvi, hapa kila saa nazipiga jicho[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom