Number ni 26
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,573
- 3,088
Sh ngap hii mkuuView attachment 1549494
Breakfast na Lunch
Sh ngap hii mkuu
Nkamu
Loli utwindu tunandi
Wakati mimi nina 56 upepo ukivuma nahofia kupeperushwa kweli dunia haina usawa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dah mimi nilikuwa na 110 sasa natafuta 90
Kwanini mkuu?Ukiingia kwenye huu uzi utaamini bado tz kuambiwa tupo uchumi wa kati tumeonewa sana!
Wakati mimi nina 56 upepo ukivuma nahofia kupeperushwa kweli dunia haina usawa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aisee pole sana kwahiyo ni mwendo wa diet tu?Nakutamani ninavyopenda kula jamani vitu vinono vingenikoma[emoji28]
Ukiona hivyo ujue hatuna cha kupika[emoji3]story zmezidi jaman...weken msos wa2 2le hata kwa macho
Aisee pole sana kwahiyo ni mwendo wa diet tu?
Yani mimi nakula kila kitu lkn niko vilevile sibadiliki[emoji3]
Hutaki unene usio na ulazimaView attachment 1550435
Breakfast
Mwambie mama yeye ni kibokoNipo kwa mama leo[emoji7] View attachment 1550524
Wakati mimi nina 56 upepo ukivuma nahofia kupeperushwa kweli dunia haina usawa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]