Uzi wa vyakula tu

Nimeondoa 32kg in 4 months.

Fanya low carb high fat diet na intermittent fasting na mazoezi ya HIIT

Once you get your body into the fat burning (ketosis) zone kupungua inakuwa so easy, almost natural.
Hii comment Ngoja niwaonyeshe dada zangu hapa
Akhsante sana mkuu
 
Yaani nilishagoogle hadi nimechoka..naambiwa tu nile bila mpangilio[emoji134]
 
Basi kinachosubiriwa hapo ni wewe tu kuamua kwa dhati
Siwezi kujilazimisha kula nje ya uwezo
Nitatapika

Halafu kuna kipindi nilikuwa nakula sana lakini wala sikubadilika..nasubiri wa kunisaidia dawa au lishe ya kuongeza uzito
 
Unakulaga vyakula vya aina gani? Mara ngapi kwa siku? Unafanya mazoezi yoyote? Vinjwaji gani unatumia?
Vyakula ninavyokula vya kawaida tu kama ugali,wali,nyama,samaki mboga za majani
Asubuhi uji,maziwa fresh nakunywa kila nitakapopata njaa

Sifanyi mazoezi ya Aina yoyote zaidi ya kazi za nyumbani.
 
Ndugu zanguni habarini za mchana ? Nimefanyiwa oparesheni ya kwenye utumbo wangu hivi napaswa kutumia vyakula gani maana na nina wiki ya pili sasa na kuna baadhi ya vyakula naogopa kuvitumia nikihisi vitaniletea madhara .

Karibu kwa mchango wenu.
 
Ongeza wanga na sukari. Soda, keki, ice cream, chocolate, biscuits, yaani processed sugars. Zitanyanyua insulin hivyo kupelekea fat storage. Hiyo ndio direct opposite ya nilichokifanya nipungue.
Ngoja nitaanza kula ugali Kuna soda asubuhi[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…