Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kupunguza uzito ni kazi kama kuongeza uzito[emoji134]?Hakuna kitu kigumu kama kupungua uzito kwa mwezi zimetoka nne tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupunguza uzito ni kazi kama kuongeza uzito[emoji134]?Hakuna kitu kigumu kama kupungua uzito kwa mwezi zimetoka nne tu
Kupunguza uzito ni kazi kama kuongeza uzito[emoji134]?
Ntamwambia nini mama[emoji134]
Alinipa uji muda mrefu akanisisitiza ninywe kabla haujapoa, nikakwambia nitakunywa.
Sasa umepoa umekakamaa nashindwa kunywa[emoji16]View attachment 1572187
Mkuu nisaidie na Mimi namna ya kuongeza uzitoNimeondoa 32kg in 4 months.
Fanya low carb high fat diet na intermittent fasting na mazoezi ya HIIT
Once you get your body into the fat burning (ketosis) zone kupungua inakuwa so easy, almost natural.
Aiseee kula kwa kiwango kikubwa nashindwaSijui ndugu najua kupungua tu afu kila mtu na mwili wake, formula hazifanani sana
Ila kwa kifupi: kula. Eat like your life depends on it. Yani kula iwe ni part time job yako
Hii comment Ngoja niwaonyeshe dada zangu hapaNimeondoa 32kg in 4 months.
Fanya low carb high fat diet na intermittent fasting na mazoezi ya HIIT
Once you get your body into the fat burning (ketosis) zone kupungua inakuwa so easy, almost natural.
Kutoka kweny chips mpaka kweny ugali [emoji23][emoji23] safii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kutoka kweny chips mpaka kweny ugali [emoji23][emoji23] safii
[emoji28][emoji28] likizo eee now upo home ni ugali tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna chakula napenda kama ugali.
Mazingira niliyokuwepo sasa ndio ilikuwa shida kuupata ugali mzuri
Yaani nilishagoogle hadi nimechoka..naambiwa tu nile bila mpangilio[emoji134]Kabla sijaanza kupungua sikuwa naamini inawezekana. Niliamini siwezi kujinyima. Kumbe kuna namna unautrick mwili unaacha kusikia njaa, kiasi hapa tunavyoongea nna masaa 48 sijala na sisikii njaa.
So google around, read utapatabtu tricks gani za kuufanya mwili wako upokee mzigo mkubwa.
Time for ugali[emoji2960][emoji28][emoji28] likizo eee now upo home ni ugali tu
Nina mwili mdogo sanaZamani ulikuwa wa post mlo wa vinono, nkajua Ndio utakuwa kama tembo?
Siwezi kujilazimisha kula nje ya uwezoBasi kinachosubiriwa hapo ni wewe tu kuamua kwa dhati
Vyakula ninavyokula vya kawaida tu kama ugali,wali,nyama,samaki mboga za majaniUnakulaga vyakula vya aina gani? Mara ngapi kwa siku? Unafanya mazoezi yoyote? Vinjwaji gani unatumia?
Hamis & Madenge in TwitterView attachment 1570782
Jana hii[emoji115]
View attachment 1570783
Leo nikale wapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
True. Nimekula kama hiyo huku nilipo at Burning spear spur. Siweki picha halisi. Kipi hujaelewa? Au kurefer hiyo picha?Hamis & Madenge in Twitter View attachment 1572256
Ngoja nitaanza kula ugali Kuna soda asubuhi[emoji1787]Ongeza wanga na sukari. Soda, keki, ice cream, chocolate, biscuits, yaani processed sugars. Zitanyanyua insulin hivyo kupelekea fat storage. Hiyo ndio direct opposite ya nilichokifanya nipungue.