Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Itakuwa nguo tuMbona uko fine? Au nguo?
Height gani? Kg ngapi?
Pole mkuuNdugu zanguni habarini za mchana ? Nimefanyiwa oparesheni ya kwenye utumbo wangu hivi napaswa kutumia vyakula gani maana na nina wiki ya pili sasa na kuna baadhi ya vyakula naogopa kuvitumia nikihisi vitaniletea madhara .
Karibu kwa mchango wenu.
Usiangalie, what are the numbers?Itakuwa nguo tu
Yaani nikiangalia urefu na uzito naona kama havirandani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]shida ni picha mkuuUsiangalie, what are the numbers?
Aliyetufukuza PM atusamehe kwa muda, nafuta na posts zangu tuwaachie uzi wao
Nisaidie basi kufuta uliponi quote picha isepe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]shida ni picha mkuu
Majadiliano mengine sidhani kama yana shida
Urefu 5.7Usiangalie, what are the numbers?
Aliyetufukuza PM atusamehe kwa muda, nafuta na posts zangu tuwaachie uzi wao
Apologies. Nimefuta kila kitu uzi uendelee kuflow kwa maudhui yake original.Samahani sana kwa kuwaingilia. Ila mngeenda PM ingependeza
Mimi nilishafuta[emoji1787]Nisaidie basi kufuta uliponi quote picha isepe.
Apologies to whoever was offended.
Kwani kujadili kuhusu chakula ni vibaya?Apologies. Nimefuta kila kitu uzi uendelee kuflow kwa maudhui yake original.
Ongeza uzitoUrefu 5.7
Kgs 50
Si unaona hakuna uwiano kabisaOngeza uzito
Kwa kweli
[emoji39][emoji39]
Aisee[emoji39][emoji39]View attachment 1572395
[emoji28][emoji28][emoji28]leo nimepika sutiAisee
Mbona unanitamanisha[emoji39]
Mkuu nisaidie na Mimi namna ya kuongeza uzito
Alienda mbali akaweka pichaSijui kwann kafuta hiyo comment yake wakati ni ya msaada kwelii