Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Ndugu zanguni habarini za mchana ? Nimefanyiwa oparesheni ya kwenye utumbo wangu hivi napaswa kutumia vyakula gani maana na nina wiki ya pili sasa na kuna baadhi ya vyakula naogopa kuvitumia nikihisi vitaniletea madhara .

Karibu kwa mchango wenu.
Pole mkuu
Jaribu pia kuuliza kule jukwaa la jf Doctor kuna wataalamu wa afya natumaini watakupa majibu.
 
Usiangalie, what are the numbers?

Aliyetufukuza PM atusamehe kwa muda, nafuta na posts zangu tuwaachie uzi wao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]shida ni picha mkuu
Majadiliano mengine sidhani kama yana shida
 
Si unaona hakuna uwiano kabisa
Yeah you are too tall

Screenshot_20200917-161255_Chrome.jpg
 
Sijui kwann kafuta hiyo comment yake wakati ni ya msaada kwelii
Alienda mbali akaweka picha
Na kweli amefaulu zoezi la kupunguza mwili
Nimeona picha yake,tips alizotoa hapo juu kweli zinafanya kazi..nakushauri dada fuata ushauri wake na matokeo utayaona.

Mimi pia nikaweka...kuna raia hawajapenda hii kitu ndiyo maana amefuta kila kitu.
 
Back
Top Bottom