Halafu hapo wachovye kwenye asali, utajilamba
Mechi ya liverpool na chelsea?
Umekumbuka ndimu na pilipili lakin?
Urefu 5.7
Kgs 50
Umevipikaje hivi vina vutia. Tupe ingredientsViazi[emoji854]View attachment 1562186
Mkuu shikamoo!
Naona njegere, hoho, carrot, nyama na viazi... Nahisi kuvimix hapo utaweza.Umevipikaje hivi vina vutia. Tupe ingredients
NdiyoDuuh wewe ni mwembamba sana... mimi tu urefu wangu 5.5 nina kg60 ila bd niko mwembamba[emoji3526]
Matumizi mabaya ya kwioKutafunia kwa kahawa![emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1576810View attachment 1576812
Kesho natafunia kwa kitimoto!Matumizi mabaya ya kwio