Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20200920_165852.jpg
 
Duuh wewe ni mwembamba sana... mimi tu urefu wangu 5.5 nina kg60 ila bd niko mwembamba[emoji3526]
Ndiyo
Mimi mwembamba..ndiyo maana najaribu kutafuta mbinu za kuongeza mwili.
Nikirudisha 60 zangu Basi sihangaiki tena
 
Back
Top Bottom