Uzi wa vyakula tu

Sharp sharp mkuu...naona unaogopa kufunguka.
Maisha...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Ningejibu sili chakula hicho au sipendi chakula hicho kwasababu hii na hii
Wapi nimesema sili? Nimesema sipendi, kutokupenda kuna sababu? Let's sili nyama kwa sababu inanidhuru...nitasema sipendi nyama au nitasema sili nyama
 
Wapi nimesema sili? Nimesema sipendi, kutokupenda kuna sababu? Let's sili nyama kwa sababu inanidhuru...nitasema sipendi nyama au nitasema sili nyama
Oh!nilikosea kumradhi.

Hmm hapa
Nashindwa kuongeza neno..
 
Nazi zimeadimika sana jamani hivyo kuwa kuwa kubwa sana yakutisha!

Wananchi tupaze sauti tupate ufumbuzi wa changamoto hii ya uhaba wa bidhaa ya nazi sokoni na mtaani kwa ujumla!
 
Looks delicious
Vip ulifuata ile recipe uliyopewa na mdau au umeongeza ujuzi wako!?
Kabla ya kupewa nilikuwa na yangu mkuu ila nishukuru pia kuna nilichukua kwa jamaa.

Msosi ulikuwa mtamu saana....sijawahi kudhani nitaweza kupika viazi kwa namna hiyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…