dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
#chaasili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda hilo ulilolisema kwasababu nia ni kujifunza vitu vipya lakin siyo wote wanaweza kutoa ushirikianoMkiwa mnaweka vyakula wekeni na jina lake basi.... na matayarisho yake.
Ni ombi lakini.
Wewe ni Chef?Napenda hilo ulilolisema kwasababu nia ni kujifunza vitu vipya lakin siyo wote wanaweza kutoa ushirikiano
Usisahau kutufundisha kwa mfano
Hapana mkuu mi mama wa nyumbani tuWewe ni Chef?
Waruhusiwa mkuu... nilitaka kujifunza kwako nilijua wewe ni Chef.Hapana mkuu mi mama wa nyumbani tu
Ujuzi wa uswahilini tu,au haturusiwi!?
Asante mkuuWaruhusiwa mkuu... nilitaka kujifunza kwako nilijua wewe ni Chef.
Heshima kwako.
Njaaa[emoji847] View attachment 1584314
Vitu vyako hivi+bapa!Njaaa
[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu hebu jishikirie kidogo! Hii menu si ya mshikaji hii plus kaifungulia uzi kabisa wa "KARIBU TULE DONA" 3 hrs ago. Duh now umetupostia huku! We kweli mkareee!
Wala sijasema ni msosi wangu nimetupia tuu[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu hebu jishikirie kidogo! Hii menu si ya mshikaji hii plus kaifungulia uzi kabisa wa "KARIBU TULE DONA" 3 hrs ago. Duh now umetupostia huku! We kweli mkareee!
Mboga ya kitimoto iko wapi?
Ooh kumbe humu tunatupia tu hata kama hatuli [emoji23][emoji23][emoji1787]Wala sijasema ni msosi wangu nimetupia tuu