Karibu Sana
JF-Expert Member
- Mar 14, 2020
- 991
- 1,765
[emoji23]Mkuu hili zege uchungu wake ni kama kula dawa vile![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio lazima wote tudondoshe comments , wengine likes tu zinatosha [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani mkwepu amezidi [emoji119]
Mkwepu nakuita huku baba
mkwepu jr njoo utoe huu utata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi nahisi huyu jamaa kaseti simu bila kujua, kwamba kila post yeye anaenda nayo na [emoji106] bila hata yeye kujua [emoji16]
Inaelekea ndizi mara 3 kila siku!
Sasa si umuoe ili akuambie?Dada mtaalam..naomba uliza swal.kuna siku mchepuko nilienda kwake akanipikia kuku.wali harage na mboga flan ya majan ilikua nadhan chinese ile ila sasa ule utam sjawai kula mboga tam kama ile..sjui aliweka maziwa mule sjui nn...kila nikimuuliza recipe anasema nimuoe atanambia....ilikua na ka usukar kwa mbaal...halaf nzito. Heb nisaidie labda unaelewa
Miaka 800Tambi+Harage...[emoji1][emoji2956]View attachment 1599341
Hyo mboga inaonekana tamu sanaKama mboga 10...[emoji3]View attachment 1599342
Si kwelSema nyege nazo hupumbaza ety, pengine msosi ulikuwa ni wakawaida sana
Kuoa ni ishu nyingneSasa si umuoe ili akuambie?
KwaniniKuoa ni ishu nyingne
Nakula ujana badoKwanini
Sijui anawezaje kuvumilia bila kucomment chochote[emoji23]Yani huyu mkwepu jr anachekeshaga sana
Kama hutaki kuoa sasa unatusumbua na vijiswali vyako vya kitotoNakula ujana bado
Tungo tata hii!Uzuri wa ndizi ni utumbo
[emoji91] Chief....Hyo mboga inaonekana tamu sana