Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Nadhani yanakua sio fresh, au yamekaa sana, ila ya mkoani unayatoa shamba unachoma/kuchemsha unapata ile ladha original, unaweza ukayala kama lunch na maisha yakaendelea
Hapo nimekuelewa [emoji13][emoji13][emoji13]
 
Back
Top Bottom