Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
UsijisumbueOhhhhh Okey kumbe, haya tupost vyakula, mengi naja PM sahivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UsijisumbueOhhhhh Okey kumbe, haya tupost vyakula, mengi naja PM sahivi
Nisijisumbue kupost vyakula au PMUsijisumbue
Dada mtaalam..naomba uliza swal.kuna siku mchepuko nilienda kwake akanipikia kuku.wali harage na mboga flan ya majan ilikua nadhan chinese ile ila sasa ule utam sjawai kula mboga tam kama ile..sjui aliweka maziwa mule sjui nn...kila nikimuuliza recipe anasema nimuoe atanambia....ilikua na ka usukar kwa mbaal...halaf nzito. Heb nisaidie labda unaelewa
Ni mboga ya ugali tamu sana atiAisee
Miguu ya kuku tena!
Dah... Mtende [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]linavutiaKande la kipare Mshana Jr View attachment 1603454
Mmh kwakweli miguu na kichwa napata ugumu kula.Ni mboga ya ugali tamu sana ati
Rafiki Mimi sibagui wala sichaguiMmh kwakweli miguu na kichwa napata ugumu kula.
Ahaa basi wewe ndio uko vizuri sasa.Rafiki Mimi sibagui wala sichagui
Kuna mdau akikuambia acha kulia gizani husikii tu
Utakula chura mdogo wangu [emoji28][emoji28]
Mbona hii ya mchana Kuna mwanga kabisaKuna mdau akikuambia acha kulia gizani husikii tu
[emoji23][emoji23][emoji23]taa yangu ina mwaga kidogoUtakula chura mdogo wangu [emoji28][emoji28]