Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Nje na ugali,siwezi kula chakula chochote bila kinywaji.
Si soda tu,huwa nakunywa na chai pia,maziwa,juice yaani ili mradi tu kinywaji (ila si maji)

Nilizoeshwa hivyo tangu nikiwa mdogo na nimeshaharibika Sasa.
Yaani hapo bila hiyo soda basi nisingeweza kula..hata niwe na njaa vipi (ni kama chakula kisicho na chumvi)
Aisee
 
December nakuja kukutembelea
Hakikisha haunipi wali mkavu bila chai,soda au juice[emoji23][emoji23][emoji23]
Bila hivyo nitashindwa kula

Tena huwa natoka nimebeba yangu kabisa emergency ikitokea[emoji1787]
 
December nakuja kukutembelea
Hakikisha haunipi wali mkavu bila chai,soda au juice[emoji23][emoji23][emoji23]
Bill hivyo nitashindwa kula

Tena huwa natoka nimebeba yangu kabisa emergency ikitokea[emoji1787]
[emoji16][emoji16] aisee umenitisha sana...najiuliza kama mimi ningekuwa nilizoeshwa hivyo katika hali niliyonayo sasa hivi hata sijui ningefanyaje. Kuhusu December wala usijali cha muhimu usikae siku nyingi[emoji41][emoji41]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakaa siku moja tu

Ungechemsha chai.
Hizo soda nakunywa hela ikipatikana..hela isipokuwepo ni mwendo wa chai tu na maziwa fresh.

Kuna kipindi nikiwa Dom nilikuwa nachemsha chai nakula na chips,watu wananishangaa
Yaani iwe asbh mchana, usiku nipo napambana tu na chai.

Secondary nilikuwa nabeba box la jolly juice.. nilikuwa siwezi kula kande kavu.

Yaani kuacha nashindwa,nikijaribu kujikaza bila kufanya hivyo nashindwa mwishowe najikuta nalala njaa
 
Aisee sasa huku Dar utakunywa chai mchana au usiku? Si unatsfuta kufa kwa joto
 
Back
Top Bottom