Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20201019_080758.jpg
 
Mdogo wangu unapenda soda wewe, hakuna chakula umekula bila soda,
Nje na ugali,siwezi kula chakula chochote bila kinywaji.
Si soda tu,huwa nakunywa na chai pia,maziwa,juice yaani ili mradi tu kinywaji (ila si maji)

Nilizoeshwa hivyo tangu nikiwa mdogo na nimeshaharibika Sasa.
Yaani hapo bila hiyo soda basi nisingeweza kula..hata niwe na njaa vipi (ni kama chakula kisicho na chumvi)
 
Back
Top Bottom