ni nini hizi nzuri nzuri??
Mue mnatoa location
View attachment 1610858
Boga la grill na prawns wa grill
What is late lunch??Late LunchView attachment 1610604
Dah! We mdada utakuwa kibonge bila shaka 🙂View attachment 1610858
Boga la grill na prawns wa grill
Swali gumu! Mlo unaoliwa nje ya muda wa chakula cha mchana,What is late lunch??
recipes pls [emoji120]
Dah! We mdada utakuwa kibonge bila shaka [emoji846]
Ni wapi hapo?Vyakula vyako tu[emoji39][emoji39][emoji39]
Pale nimetoka Arusha
Aise! 😄[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji16] Nina kg62 tu[emoji23][emoji23] mimi ni Mpishi Mzuri ila sio mlaji familia yangu ndio inafurahia