ππ no.....viendelee kunoga π€π€Vidole vya kike vikonde?[emoji2960]
Hii ni chips yai+ nyama kilo nzimaπ³ duh ulafi huo[emoji847] View attachment 1607247
Ni chakula cha uchaguzi![emoji847]Hii ni chips yai+ nyama kilo nzima[emoji15] duh ulafi huo
Msosi murua sana,tatizo why ukila menu hii uku ukiwa vyombo haipandi unakua na mawazo sana,hata ukilala unaota ndoto mbaya mbaya tu?
Lizzy kawali haka kanavyokuwaga katamu hasa ukiwa huna kitu mfukoni unaweza kuwaza hivi mimi nilimkosea nini mungu kushinda bar huku kuna wali nyama saaafi toka kwa lizzy+? sikutag.
ππππ kabisa umekataa kunitag babukijanaLizzy kawali haka kanavyokuwaga katamu hasa ukiwa huna kitu mfukoni unaweza kuwaza hivi mimi nilimkosea nini mungu kushinda bar huku kuna wali nyama saaafi toka kwa lizzy+? sikutag.
HahahaMsosi wa uchaguzi[emoji847]View attachment 1614953
unaona acha mwaka uishe tena kabisa ntakukumbusha nataka kale kampunga kwanza then tukazurure ila mi ubwabwa nshashiba kawali fresh kwako.ka portion hako tu baasππππ kabisa umekataa kunitag babukijana
Sasa shida yote ya nini na kina Lizzy tumejaa tele BK??? Uwe unasema tu uandaliwe mara moja moja ufurahishe nafsi yako π₯π²π₯πππ
Mkuu nyama gani hii..?Nimekula hii nyama bila bia kwa sababu awamu hii CCM badala ya kuiba kura wamelawiti uchaguzi![emoji35]View attachment 1615481