Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haragwe unaweka sukari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], kwenye makande sawa ila haragwe ni matumizi mabaya ya rasilimali[emoji28]View attachment 1619263
Kitu cha chapati na harage jekundu la sukari na hiliki
Dogo unapenda kula, leo sijaona soda
Hiyo pembeni ni supu ya pweza
Nimekula mihogo tu Leo.Dogo unapenda kula, leo sijaona soda
HapanaHiyo pembeni ni supu ya pweza
Nikajua umepiga pweza mwanawaneHapana
Sijala mihogo mwaka wa 3 sasa..inabidi nikaitafute aisee
Pweza hata sijawahi kulaNikajua umepiga pweza mwanawane
ItafuteSijala mihogo mwaka wa 3 sasa..inabidi nikaitafute aisee
😬 Iyo pili pili nayo unaitafuna
Ndiyo[emoji51] Iyo pili pili nayo unaitafuna
Mmh