UlipoteaNdiyo
Matatizo mdogo wangu.Ulipotea
PoleMatatizo mdogo wangu.
Nilikuwepo ila nilipumzika kwa muda.
Napenda hizi bagia
Tobaaaaaa nifanyaje sasa [emoji3][emoji3]Koma kutamani vya watu!
Yani nilitamani ziwe mara mbili ya hapo kwa idadi 😄Napenda hizi bagia
Huwezi amini nimezikumbuka leo mpk nikatamani kesho asbh nipande treni ya Ubungo asbh kuna kuaga na mama anaziuza maeneo ya Buguruni mnyamaniYani nilitamani ziwe mara mbili ya hapo kwa idadi [emoji1]
Hiki chakula nimekula sana mwaka huu [emoji1787][emoji1787]
Niko pwani hii ya Darslam[emoji16][emoji16][emoji23] msasani na nunua
View attachment 1619263
Kitu cha chapati na harage jekundu la sukari na hiliki