Uzi wa vyakula tu

Wewe ni mzenji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wazenji na mapishi yenu ni hatari, mnapikaga vibarazani nyei hamtaki mambo ya jikoni

Khaa, hamna kitu kama icho ukiona mtu anapika barazani basi ujue chakula cha biashara hicho. Sina hakika sana lkn siwezi kusemea mitaa yote pengine inategemea ntaa na ntaa. Mie nimekulia gate kali [emoji13]
 
Eti ntaa na ntaa au ntu na ntu [emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…