Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
[emoji847]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeehhh umeongeza njaa hapa ni hatari aisehh hii mambo
Kuna pilau mbuzi banah nalo ni tatizo lingine
Wewe ni mzenji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wazenji na mapishi yenu ni hatari, mnapikaga vibarazani nyei hamtaki mambo ya jikoni
Unajua kunitesa![emoji39][emoji39][emoji39]
Kuna sehemu nimepost bia halafu ukalike![emoji23][emoji23][emoji23]
Nililike kwa sababu ya picha za juu..Kuna sehemu nimepost bia halafu ukalike![emoji23][emoji23][emoji23]
Weeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaona aibu kusema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha hahahahaha. si useme tu sahiib. Mkuyat [emoji91]
Dogo langu umetisha sana
Hapa mlikua ntu ngapi
Eti ntaa na ntaa au ntu na ntu [emoji28][emoji28]Khaa, hamna kitu kama icho ukiona mtu anapika barazani basi ujue chakula cha biashara hicho. Sina hakika sana lkn siwezi kusemea mitaa yote pengine inategemea ntaa na ntaa. Mie nimekulia gate kali [emoji13]
8Hapa mlikua ntu ngapi
Baba mjengo leo sijapika, nimekula matunda tuThe Happiness umepika nini mama watoto