Bwana Fulani
JF-Expert Member
- Mar 25, 2019
- 653
- 3,404
Hana kinywaji, so It's obvious kwamba sio Saint AnneHuyu dada ni member mwenzetu kwenye hii forum na huwa anapost vyakula mara kwa mara hapa,je unaweza kubashiri ni nani?[emoji12]View attachment 1633475View attachment 1633476
[emoji28][emoji28][emoji28]Hana kinywaji, so It's obvious kwamba sio Saint Anne
Kabichi naziweka pembeni
Mie nazipenda 🙂🙂Kabichi naziweka pembeni
chakula cha nguvu💪💪[emoji51][emoji51][emoji51]View attachment 1633773
Natumia blenderNAZIPENDA SANA, KUNDE UNAZISAGA NA NINI?
Huyu dada ni member mwenzetu kwenye hii forum na huwa anapost vyakula mara kwa mara hapa,je unaweza kubashiri ni nani?[emoji12]View attachment 1633475View attachment 1633476
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hana kinywaji, so It's obvious kwamba sio Saint Anne
Naona wanakutetea mkuu![emoji124][emoji124][emoji124][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo tumbo la kujaza ugali wote wote huo nalitoa wapi??Naona wanakutetea mkuu![emoji124][emoji124][emoji124]
Mkuu kuna taarifa kuwa hapo ukipewa kitu kama soda hivi hata huo ugali hautoshi![emoji124][emoji124][emoji124]Hilo tumbo la kujaza ugali wote wote huo nalitoa wapi??
Huo mlo wa siku 2
Ni kweli kabisa kaka mdee [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu kuna taarifa kuwa hapo ukipewa kitu kama soda hivi hata huo ugali hautoshi![emoji124][emoji124][emoji124]
Vile jana umefurahia baada ya kusikia kuwa Mdee amesaliti kambi![emoji23]Ni kweli kabisa kaka mdee [emoji23][emoji23][emoji23]
Amesaliti kambi wapiVile jana umefurahia baada ya kusikia kuwa Mdee amesaliti kambi![emoji23]View attachment 1634320
Huu uzi ni wa vyakula kwa hiyo ondoa undezi wako hapa.Kama unataka kupambana na mimi tukutane kwenye majukwaa ya siasa.Kila mtu anajua kuwa awamu hii CCM badala ya kuiba kura walilawiti uchaguzi.Unalijua hilo,nalijua hilo na CCM pia wanalijua hilo na hata waangalizi wa uchaguzi wanalijua hilo.Amesaliti kambi wapi
Acheni wivu,wanaume wazima mmekomaa na viti vya wamama.
Ingetokea Lisu na mbowe wangepata zile nafasi walizokuwa wakiziota unadhani wangeziacha??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu uzi ni wa vyakula kwa hiyo ondoa undezi wako hapa.Kama unataka kupambana na mimi tukutane kwenye majukwaa ya siasa.Kila mtu anajua kuwa awamu hii CCM badala ya kuiba kura walilawiti uchaguzi.Unalijua hilo,nalijua hilo na CCM pia wanalijua hilo na hata waangalizi wa uchaguzi wanalijua hilo.
Kutokana na hilo msimamo wa chama ulikuwa ni kuwanyima CCM ushirikiano wa aina yoyote ile kwa sababu serekali yao siyo halali,ni serekali iliyokosa kibali cha wananchi.Hayo mambo unayoongea ya unyanyasaji sijui wa kijinsia ni mawazo yako tu ya kujifurahisha nafsi yako.Hayana ukweli wowote wala ushahidi wowote na pia siyo fact na ndiyo maana huwezi kuthibitisha uongeacho.Ni porojo tu za vijiweni za wana CCM walioishiwa hoja.
Mimi huwa siposti siasa hapa hadi nichokozwe kama wewe leo ulivyoanza kunichokoza kwa kuniita kuwa mimi ni kaka-Mdee na umefanya haya kwenye uzi wa vyakula![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe unajua uzi wa vyakula.
Mbona wewe kuna siku umetupostia siasa[emoji23][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ile siku baada ya uchaguzi mbona ulipostMimi huwa siposti siasa hapa hadi nichokozwe kama wewe leo ulivyoanza kunichokoza kwa kuniita kuwa mimi ni kaka-Mdee na umefanya haya kwenye uzi wa vyakula!